Tengeneza Ratiba ya Vipindi kwa Haraka — Periods, Breaks & Events.

Faulink Ratiba inakusaidia kupanga vipindi kwa usahihi: walimu, madarasa, masomo, break, matukio, na ratiba ya wiki — bila “collision”.

Quick Start
Register au Login

Ratiba bila mgongano wa muda
Breaks & events zinakaa vizuri
Muonekano professional

Sifa Kuu

Vipindi, breaks, events, walimu na madarasa — kwa mpangilio safi.

Periods & Times
Weka muda wa vipindi kwa urahisi (asubuhi hadi jioni).
Breaks
Break zinakuwa “sehemu yake” bila kuchanganya na vipindi.
Events
Matukio ya shule: mikutano, majaribio, special sessions.
Madarasa & Masomo
Panga masomo kwa darasa, stream, na siku za wiki.
Walimu
Ratiba ya mwalimu inakuwa wazi na rahisi kufuatilia.
Print-friendly
Toa ratiba kwa print (A4) bila kuharibika layout.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3: Register → Set times → Tengeneza ratiba.


Unda Akaunti
Jisajili kisha ingia kwenye dashboard.
Set Times
Weka periods + breaks + events bila collision.
Generate Ratiba
Panga masomo kwa wiki na print ikitoka clean.

Faida

Ratiba safi = nidhamu ya muda + uendeshaji rahisi.

Muda unaonekana
Vipindi na breaks vinakuwa katika mpangilio sahihi.
Uaminifu
Muundo wa professional unaoaminika na uongozi wa shule.

Maswali

Majibu mafupi kuhusu mfumo wa ratiba.

Unafaa primary, secondary, na taasisi zinazohitaji ratiba ya vipindi, breaks, na events.

Bonyeza Register kisha ingia kupitia Login.